ALIKIBA meets students from Arusha Girls School encourages Education

Thanks! Share it with your friends!

You disliked this video. Thanks for the feedback!


Added by miamigo
232 Views
Wasichana/ Wanawake ndio nguzo ya familia , ni muhimu kusomesha na kuelimisha wasichana/ wanawake katika nchi yetu na duniani kote. Ukielimisha msichana/ mwanamke ndio umeipa maendeleo familia na jamii nzima. Nilifurahi kukutana na wanafunzi wa Arusha Girls School na maneno yangu machache kwao ni kuzingatia kulinda heshima, kuwa na nidhamu, kuzingatia elimu na kumuongoza Mungu katika kila jambo.

Kila la kheri kwa wanafunzi na waalimu wa Arusha Girls School.

Business : seven@rockstar4000.com
Facebook: www.facebook.com/OfficialAlikiba
Twitter: @OfficialAlikiba Instagram: @OfficialAlikiba
Snapchat: OfficialAlikiba Hashtag: #SeduceMe
Category
Albufeira

Post your comment

Comments

Be the first to comment